Pages

Subscribe:

Friday, 18 August 2017

Nape Nnauye ameshindwa kuvumilia Zanzibar kuvuliwa uanachama CAF




Shirikisho la soka barani Afrika CAF lilitangaza kuivua Zanzibar uanachama wa CAF ikiwa ni miezi minne imepita toka shirikisho hilo liitangaze Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF.

PENZI LA UWOYA LILIVYOMPA WAZIMU DOGO JANJA!

Image result for irene uwoya

MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya.

YALIYOJIRI MAHAKAMANI KESI YA MANJI YA UHUJUMU UCHUMI

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji,

WOLPER ADAI KUBADILI WANAUME HAONI SHIDA

WAKATI mashabiki wakiwa bado wanamshangaa staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Massawe ‘Wolper’ juu ya tabia yake ya kubadili wanaume kila kukicha, katika hali ya kushangaza, ameibuka na kudai kuwa ataendelea kubadili wapenzi, muda wowote

RAIS MAGUFULI ATOA ONYO KALI KWA ORODHA HII YA WASANII WAKUBWA TANZANIA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka wazi kuwa kwa sasa inakula sahani moja na kuwapa kibano kikali mastaa wote

NEY WA MITEGO AFUMANIWA NA MKE WA MTU...soma zaidi kupata ukweli



Msanii anayesumbua na Wimbo wa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amedaiwa kukwaa skendo ya kufumaniwa na mpenzi wa

NAFASI 7 ZA ACCOUNTANT KUTOKA SERIKALINI

ASSISTANT ACCOUNTANT II. – 1 POST
Employer: Tanzania Forest Services (TFS) Agency
Date Published: 2017-08-16
Application Deadline: 2017-08-30
JOB SUMMARY:
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

NEY WA MITEGO,ROMA NDANI YA BIFU NENE

NAY WA MITEGO AFUNGUKA

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema

MZUNGU ALIYELETA KEJELI KWA MTANZANIA ARUDISHWA RUMANDE



MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2017 imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, anayetuhumiwa kwa kosa la

MAHAKAMA KUPIGA MNADA JENGO LA YANGA LEO


Makao Makuu ya Klabu ya Yanga.
Mahakama imetoa amri ya Jengo la Klabu ya Yanga lililopo mitaa ya Jangwani kunadiwa

WIZI WAMPONZA HUYU BINTI


BIFU LA MADEE NA WOLPER LAFIKIA PATAMU


ALICHOKISEMA MR.NICE JUU YA WATANZANIA DHIDI YA WAKENYA



MWANAMUZIKI wa miondoko maarufu kwa jina la Tanzania, Kenya na Uganda (Takeu), ambaye alijizolea umaarufu miaka ya 2000 na baadaye kupotea kidogo kutokana na sababu za hapa na pale, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amesema kuwa

LWANDAMINA ATOA KAULI NZITO KWA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kutokana na mazoezi anayoendelea kuwapa vijana wake katika kambi yao iliyopo Pemba.