![]() |
Mbwa katika ndoto |
Maana yake ni umejiwa na shetani katika ndoto. Shetani mwenye kuhadaa jambo katika ndoto huja katika sura ya Mbwa.
Na
ndoto mfano wa hii mara nyingi hujitokeza alfajiri kabla ya kuchomoza
kwa jua. Ikiwa utapata ndoto kama hii kisha ukashituka usingizini
ashiria kutema mate upande wako wa kushoto mara 3 halafu amka usilale
tena.
Pia
ni vyema kuamka mapema na kuacha kulala muda wa alfajiri. Ukifanya
hivyo itakujengea uwezo wa kufikiri na kuamua mambo yako vyema.
0 comments:
Post a Comment