Inavyoaminika ndoto huja kuelezea jambo moja kwa moja kama lilivyo au kinyume chake au huelezea kwa njia ya mifano na wakati mungine huja kama fumbo, Kwahiyo ndoto ya kifo ina naana kama ifuatavyo;
Ikiwa utaota umekufa hii haina maana kua umekufa kweli au
umekaribia kufa ila maana yake ni kuharibika (kufa) kwa mipango yako au
mambo yako
Hivyo hivyo ndivyo ilivyo ikiwa utamuota mtu wa karibu yako au
mtu unaemjua kua amekufa maana yake ni kama nilivyosema hapo juu kua ni
kufa kwa mipango au mambo ya huyo mtu.
0 comments:
Post a Comment