Pages

Subscribe:

Sunday, 7 August 2016

IJUE TAFSIRI YA NDOTO JUU YA NG'OMBE


Ndoto ya Ng'ombe wa rangi nyekundu

 Kila mnyama katika ndoto hua ana maana yakehii ni tafsiri ya ng'ombe katika ndoto kama ifuatavyo;

  • lkiwa umeota unafuatwa au kukimbizwa na ng'ombe wekundu fahamu kwa hakika hao ni mashetani wanakufuata ili urudi katika mila ya wazee wako ambayo walikua wakidumu nayo wakati wa uhai wao kwa mafungamano maalumu na mashetani hao.  
Ng'ombe wekundu wafugwao
  • Ikiwa umeota unachunga ng'ombe wekundu fahamu kwa hakika hao ni mashetani wanao kutaka utawale mambo yao ambayo ni mila ya wazee wako waliokua wakiifanya wakati wa uhai wao kwa mafungamano maalumu na mashetani hao.
Ng'ombe weusi wafugwao
  • Ikiwa utaota unafuatwa au kukimbizwa na ng'ombe weusi kwa hakika hao ni mashetani wanadhihirisha chuki na uadui kwako labda kwa kwenda tofauti na mafungamano kati yao na wewe au kati yao na wazee wako.

0 comments:

Post a Comment