Pages

Subscribe:

Sunday, 7 August 2016

MAANA YA NDOTO YA SAFARI KATIKA BARABARA NYOOFU

Ndoto ya safari katika barabara nyoofu


Kuna baadhi ya ndoto ambazo watu wengi huziona kama hazina maana yoyote kwa jinsi zilivyo ila sio kweli kwamba hazina maana zina maana kubwa tu ila watu wengi huziona zile ndoto zinazowanya wawe na khofu au wasiwasi kua ndio zina maana wakati nyingi ya hizo ndoto mara nyingi zimekua hazina maana . Leo nitawaelezeni maana ya ndoto ambayo imekua haiyonekani kama ina maana yoyote.
            Ikiwa umeota unatembea au unasafiri katika barabara nyoofu bila kufika uendako yaani mpaka hiyo ndoto inakatika bado unatembea hii ina maana kua umekosa muelekeo katika mambo yako.

0 comments:

Post a Comment