![]() |
KITENDO CHA KUJISAIDIA HAJA KUBWA |
Kuota kitendo cha karaha au kuudhi haimaanishi kua hiyo ndoto ni mbaya. Mfano kuota unajisaidia haja kubwa au ndogo
MAANA YA KUJISAIDIA
Kwanza ifahamike kua kujisaidia ni tendo la kushusha au kuondosha adhaa
zilizo katika mwili, kwahiyo mwenye kuota anajisaidia hajakubwa au ndogo
hii inamaanisha kua mtu huyo ameshusha au atashusha mambo yenye
kumuhemeza hii inamaanisha kua mtu huyo ataondokewa na matatizo na mambo
magumu alionayo.
NB: Tofauti kati ya haja kubwa na ndogo ni kwamba (1) Ukiota
unajisaidia haja kubwa hii ina maanisha utaondokewa na Matatizo makubwa
na madogo ulionayo.
(2) Ukiota unajisaidia haja ndogo inamaanisha utaondokewa na matatizo madogomadogo tu ulionayo.
0 comments:
Post a Comment