Ikiwa umelala usingizi kisha ukaota ndoto ya nyoka hakika ya hiyo ndoto
yako
utakua umemuota (umemuona) JINNI. Nyoka wa aina yoyote katika ndoto maana yake ni JINNI.
utakua umemuota (umemuona) JINNI. Nyoka wa aina yoyote katika ndoto maana yake ni JINNI.
Elewa kua unapo muona jini kitika ndoto akiwa na umbo la
nyoka hii inamaana ya UWADUI. kama ilivyo katika hali ya kawaida nyoka
ni adui wa mwanadamu usipochukua tahadhari atakudhuru au yeye
asipochukua tahadhari wewe utamdhuru.
Ili kujua ni aina gani ya uwadui hii inategemea mambo yafuatayo. 1; Mwendo wa nyoka ktk ndoto 2; Rangi ya nyoka ktk ndoto 3; Aina na ukubwa wa nyoka ktk ndoto.
MWENDO WA NYOKA
Mwendo wa kawaida wa nyoka ni wa kujinyonga nyonga
Mwendo wa kawaida kabisa wa nyoka ni wa kujinyonga nyonga (kupinda
pinda ) kama unavyo ona katika picha hapo juu, sasa unapolala kisha
ukaota ndoto ya nyoka anatembea kwa namna hiyo fahamu ndoto yako hiyo ni
ya nyoka wa ukweli kabisa na sio JINNI kama nilivyosema.
Mwendo wa nyoka ambae ni JINNI katika ndoto hua ni wa
moja kwa moja kama mwendo wa treni hakika JINNI anapo jigeuza na
kukujia kwa umbile la nyoka ktk ndoto hawezi kwenda (kutembea) kwa
mwendo wa kawaida wa nyoka.
Nyoka alie jikunja na kuficha kichwa chake
Ikiwa umelala kisha ukaota Nyoka katulia kwa kujikunja na kichwa chake
kakificha katika mwili wake kama picha inavyoonesha hapo juu. Elewa kua
umepatwa na JINNI (Shetani) lakini kashindwa kukufanyia madhara na
kadhalilika juu yako.
Mazingira utakayo muonea katika ndoto inaweza kukupa tafsiri
ya mahali alipo kukupatia (ku kukumbia ikiwa ni mvamizi) au Mahali
alipotokea kiasili. Mfano;
- Ikiwa katia ndoto yako umemuona huyo Nyoka ndani ya nyumba hii inatoa maana mbili 1; JINNI huyo alikupata wakati ukiwa ndani ya nyumba 2; JINNI huyo Kiasili katoka ndani ya nyumba (Anaushirika na binaadamu)
- Ikiwa katika ndoto umemuona Nyoka huyo porini nayo ina maana mbili 1; JINNI huyo alikupata ulipokua porini 2; JINNI huyo kiasili anatoka porini.
- Ikiwa katika ndoto ulimuona barabarani nayo ina maana mbili 1; JINNI huyo alikupata ulipokua barabarani watembea 2; Haifahamiki asili yake huyo JINNI
8 comments:
Je nyoka wakijani akikuuma au kukugonga
Je nyoka wakijani akikuuma au kukugonga
Mm nmeota namwona nyoka mkubwa wa kijan anaingia chini ya uvungu wa kitanda,ghafla tena nkamuona pemben ya kochi na mdogo wangu alikuwa amekaa, nkataka kumuambia hapo pemben kuna nyoka utamkanyaga,,,nkamuo nk vizur alivyo kias kwamba nkamfaham Ni nyoka wa kijan aina ya koboko,nikamuangalia na yeye akaniangalia ghafla akanivaa mpaka mgongon nikamuwahi kumtupa chini kabla hajaning'ata na nkamuona mkia wake...baada ya kumtupa chini baba yangu akafika na nkamuomba anisaidie tumuue yule nyoka
mana kila nkitaka kumuua napata uoga nasema ngoja akae vizuri ndo nimpige nimuue......hiindotoo inamaana gani?
Naomba kujua tafsiri ya ndoto hii nimeota nyoka anakimbia Kwa Kasi mbele kidogo akaruka juu akawa anapaa nikastuka nyoka Ana rangi njano weupe
Mimi nimeota chatu mkubwa mrefu saana Kama mita 12 hivi anapita kwa kasi saana ,nikaanza kumwongelesha kumuomba kufanikiwa katika masomo yangu,kipato changu, nipate ufadhili kwenye masomo yangu,akaenda mpaka nyumbani kwetu akaua ng'ombe wawili akalan,afu muda huohuo ng'ombe wawili Tena wakazaa mtoto mmoja mmoja, nikatoka nyumbani nikaenda kwa babamkubwa nikamkuta mtu anakaa pale nyumbani mwanaume kapata madini ,dhahabu mgodini, eti maana ya ndoto hii ni nini??
Me nimeota nimemuona nyoka mtoni nikawa nampiga na mawe hakakimbia kwa mwendo wakunyooka
Mimi nimeota nyoka yupo kwenye shimo katokeza kichwa tu nikamkanyaga bila kujua akanigonga,nikapata msaada mtu akawa ananitoa sumu kanichanja nilipogongwa.
Ipi maana halisi ya kuota nyoka mweupe anakupita chini ya miguu yako
Post a Comment