 |
Tangawizi |
Chukuwa tangawizi isafishe vizuri, itwange upate unga wake. Chukua
karafuu itwange upate unga wake. Chukua mizizi ya mgagani au mgange
utwange upate unga wake. Dawa zote hizi ziwe na ujazo unao lingana.
 |
Karafuu |
Kisha weka chumvi ndani yake kiasi kulingana na dawa uliyoandaa. Halafu
changanya na asali mbichi iwe nzito nzito kama dawa ya meno ya dukani.
 |
Mgagani pia hutumika kama mboga mboga |
MATUMIZI
Pigia mswaki dawa hiyo kutwa mara tatu. Nakushauri kama wewe ni mbovu wa
meno hii ndio iwe dawa yako ya meno. Tatizo litakwisha mara moja
0 comments:
Post a Comment