Pages

Subscribe:

Tuesday, 16 May 2017

Pep Guardiola: "James Rodriguez atafanikiwa Manchester"

Pep Guardiola: "James Rodriguez atafanikiwa Manchester"
Kocha wa Kihisipania Pep Guardiola anaamini James Rodriguez anaweza kufanikiwa zaidi Ligi Kuu Uingereza endapo atatua Manchester

Antonio Conte amefaidi jasho la Jose Mourinho

Antonio Conte amefaidi jasho la Jose Mourinho
Mourinho kila anakopita huunda kikosi bora na anapoondoka wanaokuja nyuma yake wanapata mafanikio bila kutumia nguvu, Conte amesafiria nyota yake