Pages

Subscribe:

Monday, 16 October 2017

MAKOSA YA KIMTANDAO: Maadmin wa group za WhatsApp kuweni makini


Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ imekutana na viongozi wa dini wanaounda kamati ya mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kutoa semina juu ya matumizi salama ya simu na mitandao.

Akizungumza kwenye Semina hiyo Mratibu msaidizi wa polisi, Joshua Mwangasa amesisitiza kuwa linapotokea kosa lolote la mtandaoni mtu asiende TCRA bali aende polisi, zaidi amesema Maadmin wa group za WhatsApp watawajibika pale uhalifu wa kimtandao utakapofanyika kwenye group lake. Unaweza kuitazama hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment