Binti wa miaka 17 amevamiwa na wanaume 3 kwa nyakati tofauti ndani ya saa moja kisha
kubakwa na wanaume hao katika eneo la
Bethnal Green, London nchini Uingereza.
Imeelezwa kuwa mshichana huyo alikua anarudi nyumbani wakati wa usiku kutoka kwenye
matembezi yake alipokamatwa na mwanaume wa kwanza na kupelekwa eneo la gizani kisha
kutendewa kitendo hicho kisha kuachwa na baada ya dakika chache akaja
mwanaume mwingine kumbaka kabla ya kubakwa na mwanaume mwingine baada ya
dakika chache tena.
Kwa mujibu wa polisi binti huyo alifanyiwa kitendo hicho mara tatu bila hata kupiga
kelele kuomba msaada kwasababu inawezekana alileweshwa na madawa hivyo
kushindwa kabisa kupiga kelele hadi alipokuja kupewa msaada na msamaria mwema.
0 comments:
Post a Comment