Thursday, 25 August 2016
Alichokisema Mh.Mbatia juu ya vyama vya siasa na suala la UKUTA
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Taifa, James Francis Mbatia (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Labels:
siasa
Hii ndio Sayari Inayoshabihiana na Dunia iliyoagunduliwa
Mchoro: Uzito wa sayari hiyo unadokeza huenda ikawa na mawe kmaa ailivyo Dunia
Wanasayansi
wamegundua sayari ambayo inakaribia sana Dunia kwa mazingira na ukubwa
wake na ambayo inazunguka nyota ijulikanayo kama Proxima Centauri, iliyo
na mfumo unaokaribia zaidi mfumo wetu wa jua.
Labels:
habari
Miili ya Askari Waliouawa na Majambazi ilivyoagwa Dar
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya
askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na
majambazi .Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya Polisi
vilivyopo barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Labels:
habari
Zitto Kabwe afunguka yake kuhusu Oparesheni UKUTA
Wakati viongozi wa dini wakiendelea na jitihanda za kusaka suluhu kati ya upande wa Serikali na Chadema kuhusu namna ya kuzuia kwa amani kufanyika kwa Operesheni ya chama hicho iliyopewa jina la UKUTA, Septemba 1, Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe ametoa maoni yake.
Labels:
habari
Ujio wa Mourinho umeleta athari gani kwa Rashford na Chipukizi wa Manchester United?
Zlatan Ibrahimovic ni Mfalme wa Manchester United, anaongoza kwa swaga, Pogba naye ni mnyama hatari, Je! kuna nafasi kwa watoto?
Labels:
soka
Sababu za JPM kumuapisha Mkurugenzi Mpya wa Usalama wa Taifa zatajwa.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe
Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt
Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma
Ikulu jijini Dar es salaam.
Labels:
habari
Sababu za polisi kupiga Marufuku Mikutano ya Ndani ya Kisiasa baada ya polisi kuuawa Benk Dar
KUFUATIA
mauaji ya askari wanne yaliyotokea Kata ya Mbande Temeke kwa watu
wanaodhaniwa ni majambazi kuvamia benki ya CRDB na kuwaua askari hao kwa
kutumia silaha za moto jeshi la Polisi limetangaza kiama na kuwataka
wahusika wote kujisalimisha.
Labels:
habari
Wednesday, 24 August 2016
Utata Kuhusu Mashahidi Watanda Kesi ya Tundu Lissu
Mvutano
kuhusu maelezo ya mlalamikaji katika kesi ya uchochezi inayomkabili
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, baina ya mawakili wa upande wa
mashtaka na upande wa utetezi ulikwamisha usikilizwaji wa kesi hiyo.
Labels:
siasa
Thursday, 18 August 2016
IGP Mangu Awaaga Askari 14 wa Kikosi Maalum cha Polisi (S.F.U).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U) ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu.
Labels:
habari
Makubaliano ya Simba na MO Dewji Kuiendesha Simba kwa Mfumo wa Hisa
August 15 2016 kamati ya utendaji ya Simba ilikutana na mfanyabiashara na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa, leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.
Labels:
soka
Monday, 8 August 2016
Jose Mourinho afurahishwa na kiwango cha Eric Bailly
Kocha huyo wa Manchester United amemsifia Eric Bailly
baada ya kuibuka nyota wa mchezo katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya
Leicester City
Labels:
soka
Jose Mourinho: "Hatimaye tumempata Paul Pogba"
Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amekiri
kuwa "hatimaye" klabu yake imefanikiwa kuipata huduma ya Paul Pogba
kutoka Juventus
Labels:
soka
Sunday, 7 August 2016
IJUE TAFSIRI YA NDOTO JUU YA NG'OMBE
![]() |
Ndoto ya Ng'ombe wa rangi nyekundu |
Kila mnyama katika ndoto hua ana maana yakehii ni tafsiri ya ng'ombe katika ndoto kama ifuatavyo;
Labels:
ndoto
Tatizo la kutokupevuka kwa mfumo wa uzazi
HALI
hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji
uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au Glandi hizi ni
korodani kwa mwanaume na ovari kwa mwanamke.
Labels:
tiba-afya
Rwanda na Burundi vitani Tena!
UHUSIANO baina ya Burundi na
Rwanda umeingia tena shubiri baada ya serrikali ya Burundi kuyazuia
mabasi ya abiria kutoka nchini mwao kwenda Rwanda.
Labels:
kimataifa
Mjue Waziri Mkuu aliyeuawa mitaani akitoka sinema kwa miguu
UNAWEZA
usiamini; waziri mkuu wa nchi anauawa mitaani akiwa anatembea kwa miguu
kutoka ukumbi wa sinema na mkewe!
Labels:
kimataifa
Takukuru ilivyofafanua kuhusu rushwa ya Aveva
Rais wa Simba, Evans Aveva.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru),
imefunguka rasmi sababu za kumshikilia na kumweka ndani Rais wa Simba,
Evans Aveva.
Labels:
soka
LHRC Yampokea Mwanaharakati Geline Fuko
Geline Fuko (kushoto) akipokea maua kutoka kwa wafanyakazi
wenzake wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),ikiwa ni ishara
ya kumpongeza baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, akitokea Marekani alikokuwa
akihudhuria mafunzo ya vijana wa kiafrika yaliyoandaliwa na Raisi Obama.
Labels:
kimataifa
Hii ndio sababu ya Defao kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi
IKIWA
ni siku kadhaa baada ya mwanamuziki Koffi Olomide kufukuzwa nchini
Kenya kwa kumpiga mnenguaji wake, Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa
Rhumba, raia wa Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo, Defao Matumona ‘General
Defao’ leo amezuiliwa kwenye hoteli moja iliyopo
Labels:
wasanii
Taarifa juu ya maendeleo ya msanii Ray C…..
Usiku wa June 16 2016 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa longtime Bongoflevani Rehema Chalamila au Ray C ilisambaa
mitandaoni akiwa anachukuliwa na gari la Polisi Kinondoni Dar es salaam
ambapo baadae ilikuja kugundulika alipelekwa Hospitali.
Labels:
wasanii
MAANA YA NDOTO KUHUSU NYOKA
Ikiwa umelala usingizi kisha ukaota ndoto ya nyoka hakika ya hiyo ndoto
yako
Labels:
ndoto
IJUE MAANA YA NDOTO YA MBWA
![]() |
Mbwa katika ndoto |
Labels:
ndoto
Yanga katika maisha ya kufikirika:wamkodisha Manji timu kwa miaka 10
Baada ya Mohammed Dewji kuonesha nia yake kuwekeza Simba, Yusuf Manji naye ameibuka na kutaka kupewa timu kwa muda wa miaka kumi
Labels:
soka
TIBA YA ASILIA KUZUIA UGONJWA WA KUHARA
Ugonjwa wa kuhara |
Labels:
magonjwa
Rummenigge: I feel sorry for Schweini - but he's not returning to Bayern
The midfielder has been deemed surplus to
requirements at Manchester United, but the Bundesliga side's executive
chairman insists they have not considered bringing him back
Labels:
soka
HII NDIO TIBA SAHIHI YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA!!!
Labels:
magonjwa
Kante: I told Hazard that Leicester City thanks him
The Belgian scored the title-clinching goal to crown
the Foxes Premier League champions as Tottenham's two-goal lead against
Chelsea was cancelled out in May
Labels:
soka
Kocha wa Arsenal amtabiria mabaya Ibramovich
Arsene Wenger amesema Zlatan Ibrahimovic ni mchezaji bora lakini umri wake utampa wakati mgumu Manchester United
Labels:
soka
Subscribe to:
Posts (Atom)