Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe
Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt
Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma
Ikulu jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhi kitendea kazi Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016. Kushoto akisimamia zoezi hilo ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe
Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju na Katibu Mkuu kiongozi
Engineer John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya
ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 24, 2016.
0 comments:
Post a Comment