Wakali hao watatu ndiyo walipata kua
nyingi zaidi kuliko wengine ambao waliingia nao kwenye hatua ya kumi boa
ya kuwania tuzo hiyo.
Messi alichukuwa tuzo hiyo msimu wa 2014/15, lakini mwaka huu ni zamu ya aidha Bale, Griezmann au Ronaldo
Rekodi za Gareth Bale 2015/16
Competition | Appearances | Goals | Assists |
---|---|---|---|
La Liga | 21(2) | 19 | 10 |
Champions League | 8 | 0 | 3 |
Euro 2016 | 6 | 3 | 1 |
Bale anawastani wa kufunga goli moja kwa
kila dakika 92 alizocheza kwenye La Liga na amekuwa msaada mkubwa kwa
klabu yake ya Real Madrid kushinda Kombe la Champions League. Alitoa
assist kwa Sergio Ramos aliyanza kuifungia Real Madrid kwenye fainali
dhidi ya Atletico, na alifunga penati pia kwenye mechi hiyo japo alikuwa
ameumia.
Bale aliisaidia pakubwa klabu yake kuing’oa Man City kwenye Nusu Fainali ya Champions League.
Bale aliisaidia pakubwa klabu yake kuing’oa Man City kwenye Nusu Fainali ya Champions League.
Wiki
chache baadaye, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alipambana na
kuisaidia Timu tyake ya Taifa ya Wales hadi kufikia hatua ya nusu
fainali kwenye Kombe la UEFA-Euro 2016 ambapo walitolewa na Ureno na
kujitengenezea heshima na historia kubwa baada ya kuipiga Ubelgiji mabao
3-1 kwenye robo fainali za kombe hilo.
Rekodi za Antoine Griezmann 2015/16
Competition | Appearances | Goals | Assists |
---|---|---|---|
La Liga | 36(2) | 22 | 5 |
Champions League | 13 | 7 | 1 |
Europ 2016 | 6(1) | 6 | 2 |
Griezmann amejitengenezea heshima kwa
kuifungia Atletico Madrid, na kufunga magoli 22 kwenye La Liga huku
wakimaliza nafasi ya 3 kwa kuzidiwa pointi 3 na mabingwa Barcelona na
pointi mbili na Real Madrid. Atletico walipigwa na Real Madrid kwenye
fainali za Champions League.
Mchango wa Griezmannkwenye timu ya taifa
ya Ufaransa wakati wa Fainali za Euro mwezi uliopita zilionekana kwa
kuwa mfungaji bora akifunga mabao sita na kuisaidia timu yake kucheza
fainali hizo ambazo walifungwa na Ureno ikachukua kombe.
Rekodi za Ronaldo’s 2015/16
Competition | Appearances | Goals | Assists |
---|---|---|---|
La Liga | 36 | 35 | 11 |
Champions League | 12 | 16 | 4 |
Euro 2016 | 7 | 3 | 2 |
Kwa Ronaldo imekuwa ni kama neema kwake
kwa msimu uliopita wa mwaka 2015/16, amefunga magoli 36 la Liga, 16 ya
Champions League na kuwa mfungaji bora wa Champions League.
pia ameisaidia Timu yake ya taifa
kushinda Kombe la Euro baada ya Ureno Kuichapa Ufaransa bao 1-0 kwenye
fainali huku akiumia na kutolewa nje kabla ya mpira kuisha.
Pia Ronaldo ndiye aliyeingia kwenye
kinyang’anyiro cha kuwania kiatu cha dhahabu cha Mchezazi Bora wa Dunia
‘Bllon d’Or’ ambazo hutolewa na FIFA. Tuzo hiyo alishinda Messi na
kuitwaa mara 5 kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mchezaji yeyote
duniani.
Top ten (in alphabetical order)Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
Gianluigi Buffon (Juventus & Italy)
Antoine Griezmann (Atlético Madrid & France)
Toni Kroos (Real Madrid & Germany)
Lionel Messi (Barcelona & Argentina)
Thomas Müller (Bayern München & Germany)
Manuel Neuer (Bayern München & Germany)
Pepe (Real Madrid & Portugal)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Portugal)
Luis Suárez (Barcelona & Uruguay)
Remaining nominees (based on number of votes received)
11 Riyad Mahrez (Leicester & Algeria)
12 Jamie Vardy (Leicester & England)
13 Dimitri Payet (West Ham & France)
14 Jérôme Boateng (Bayern München & Germany)
15 Arturo Vidal (Bayern München & Chile)
16 Luka Modrić (Real Madrid & Croatia)
17 N’Golo Kanté (Leicester & France)
18 Zlatan Ibrahimović (Paris Saint-Germain/Manchester United & Sweden)
19= Eden Hazard (Chelsea & Belgium)
19= Andrés Iniesta (Barcelona & Spain)
19= Neymar (Barcelona & Brazil)
19= Renato Sanches (Benfica/Bayern München & Portugal)
23 Robert Lewandowski (Bayern München & Poland)
24 Gonzalo Higuaín (Napoli & Argentina)
25= Giorgio Chiellini (Juventus & Italy)
25= Diego Godin (Atlético Madrid & Uruguay)
25= Will Grigg (Wigan & Northern Ireland)
25= Hugo Lloris (Tottenham & France)
25= Paul Pogba (Juventus & France)
30= Toby Alderweireld (Tottenham & Belgium)
30= Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund & Gabon)
30= Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium)
30= Kevin Gameiro (Sevilla & France)
30= Grzegorz Krychowiak (Sevilla/Paris Saint-Germain & Poland)
30= Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain & France)
30= Georges-Kévin N’Koudou (Marseille & France)
30= Jan Oblak (Atlético Madrid & Slovenia)
0 comments:
Post a Comment