Pages

Subscribe:

Sunday, 7 August 2016

walichokisema Zitto na Ommy DImpoz juu ya uamuzi wa Yanga kukodishwa

August 6 2016 Mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji katika mkutano mkuu na wanachama wa Yanga aliomba wanachama wamkodishie timu ya Yanga na nembo ya klabu kwa kipindi cha miaka 10 kwa kigezo kuwa timu imekuwa ikijiendesha kwa hasara na kuwa mwaka unaokuja itashindwa kuepuka hasara ya bilioni 1.9, hivyo anaomba akodishiwe timu na mali za klabu ziendelee kuwa chini ya klabu kama kawaida.
Baada ya Zitto kabwe na Ommy Dimpoz kusikia hilo wameandika haya kwenye kurasa zao za facebook na Instagram…..
zitto ommy

0 comments:

Post a Comment