
LICHA
ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka waendesha
bodaboda na abiria wake kutii sheria ya kuvaa kofia za pikipiki
(helmet), kamera yetu imewanasa baadhi ya abiria na madereva wao
wakionekana kukaidi agizo hilo.
Kamera yetu imenasa matukio hayo katika mitaa mbalimbali ya Posta
jijini Dar miongoni mwa madereva bodaboda na abiria wao wakionekana bila
kuvaa helmet jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao
source:gpl
0 comments:
Post a Comment